Tuesday, June 5, 2012

MISS UNIVERSE TANZANIA 2012 @ MKOANI DODOMA JUNE 6

Mashindano ya Miss Universe Tanzania yaliyomtoa mrembo Flaviana na wengine wengi yamerudi tena kwa mwaka mwingine.Miss Universe Tanzania 2012 form ziko tayari na safari hii Mikoa kama vile Dodoma,Mwanza,Dar es salaam,Bukoba,Mtwara,Manyara,Arusha na Kilimanjaro itafanya usahili wa shindano hilo lenye nafasi ya pili kwa ubora Duniani na lenye umaarufu kuliko shindano lolote lile duniani.


2007 alikuwa Flaviana Matata,
2008 Amanda Ole sululu
2009 Illuminata James Wize
2010 Hellen Dausen
2011 Nelly Kamwelu
2012

Form ziko tayari kwa mikoa yote ilotajwa hapo juu,this week jumatano tarehe 6 Miss Universe scouting team itakuwa Mtwara......

Alhamis/Ijumaa  ya wiki hii tarehe 7 june Miss Universe scouting team itakuwa mkoani Dodoma.....Kwa mawasiliano zaidi piga number 0714441165 AU 0713302075

No comments:

Post a Comment