Baadhi ya wanafunzi wa Mwaka wa 3 wa Chuo Kikuu Cha Dodoma ambao wanahitimu masomo mwezi baada ya kumaliza mitihani ya mwisho hatimaye wahangaika na zoezi la kufanya clearance katika ofisi za wahasibu.Baadhi ya wanafunzi wamelala katika ofisi za wahasibu na wengine kufunga safari saa saba usiku yote ni kwaajili ya kuwahi ili waweze kumaliza mapema zoezi hilo na hatimaye wawe huru kabisa. |
No comments:
Post a Comment