Sunday, June 3, 2012

TASWIRA ZA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SERIKALI YA WANAFUNZI UDOM

Vuvuzela nalo lipo katika harakati zakupata viongozi bora wa UDOM-2012/13
Harakati hizi ni kama sherehe chuoni hapa,,, libeneke la kukata mauno nalo lipo
Wadau Wakisubiri Matokeo ya Uchaguzi Kutangazwa katika Kitivo cha Elimu UDOM
Hii ni moja ya Mbao Za Matangazo ambapo hizi ndizo zilizojaa kwenye mabango ya matangazo Chuo Kikuu Cha Dodoma

No comments:

Post a Comment