goodgirl
|
KULINGANA
NA UTAFITI ULIOFANYIKA IMEONEKANA KUWA VYUO VILIVYOPO MAENEO YA MIJINI
HASA MIJI MIKUBWA KAMA DAR ES SALAAM, MWANZA NA ARUSHA NDIVYO
VINAVYOONGOZA TABIA ZA UMALAYA HAPA NCHINI, JE HILI LINA UKWELI KIASI
GANI? |
jackson
|
Mi
naona tatizo kubwa hapa ni moja, maisha ya mjini ni magumu kwanza swala
la accomodation kwa vyuo vya mjini ni tatizo kubwa ukajaribu kucheki
kam IFM, CBE hata maeneo ya udsm still ni tatizo bei za vyumba zimepanda
sanan halafu ukicheki boom la wanafunzi ni kidogo sana compare na jinsi
gharama nyingine ziko juu, angalia kwa mfano IAA pale yani bei ya
kupanga semester utafikiri unataka kununua hostel yenyewe, at least some
of the boys wanaweza kujikaza lakini lady’s they need more comfortable
environments. |
komba
|
Hamna lolote, hawa watoto wa kike wanajiendekeza tu, haiwezi kufikia kiasi cha kufanya umalaya hata kidogo |
mdadawaukweli
|
Jamani
serikali nayo ikishirikiana na viongozi wa vyuo wapunguze siasa,
wajaribu kuwaangalia hawa wanafunzi wanaishi vp, tatizo ni kutojali na
kwa sababu si wao au watoto wao basi watajijua watakavyoishi wenyewe,
inauma sana |
rachel
|
That is not true kabisa.Jamani tabia ya mtu haijashi yuko wapi, kama m2 ni mstaarabu atabakia
na ustaarabu wake lakin kama ni waku…. hata angekaa bush ndan lazima atafanya
upuuz wake. |
zulfa
|
So embarassing topic but also interesting! |
paul
|
Hii
mbona ipo sana, sasa kama hapa St. Augustine bila milioni 1 hujapata
accomodation ya mwaka na ni lazima ulipe kwa mwaka mzima we unafikiri
itakuwaje, demu anapenda kuwa sister du hapo hapo alipe accomodation ada
na amaintain usisterdu wake so lazima mambo kama haya yapo sana tu |
victor
|
jaman
hayo mabo yanatokana na kfwta mkumbo kwa dada zetu wengi na hvy
kpelekea kujiiingiza kwa umalaya kama ifm,cbe na udsm hapana kwa kwel
dohhhhhhhhhhhhhh |
Babuu Kiwonyi
|
nadhani
kuna mambo ya msingi makubwa ya kuyajua kabla ya kutoa kauli kwa
kuchangia hoja, ukweli kuna mambo hayajazingatiwa kama ifuatavyo:-
1. umalaya uliopo vyuoni si kwa vyuo vya mjini peke yake bali ni kwa
vyuo vyote. hivi vya mjini kwa kuwa kuna wanaovimulika ndo maana matukio
yake yameonekana wazi. ila vya ndani ndo vina uchafu mkubwa sana.
2. mazingira ya makuzi ya kina dad kabla ya kwenda vyuoni ni suala la
kutizamwa kwanza. wengi wao hufungwa, yaani hawajajengewa mazingira ya
kujitegemea hivyo wanapoingia kwenye mazingira hayo huyavamia kwa pupa.
wa disco ataenda jaribu, wa kunywa pombe nae atajaribu na wa umalaya nae
atajaribu fani. mbaya kwa kuwa hajui hutumbukia huko sasa hapo ndo
unaonekana zaidi kama mjuaji kumbe amepatwa.
3. mazingira ya ugumu na kutopenda kujishughulisha kwa baadhi ya vijana
wa kitanzania, jambo hili husababisha vijana wengi kupenda mambo ya
mteremko na yenye gharama kubwa. kwa kulingana na hali hiyo hujikuna
mwanadada haoni shida kutoa mwoli wake kama sadaka kwa wanaume tofauti
ili apate mahitaji yake.
4. soma la maadili kuanzia ngazi ya familia kwa wengi nalo ni kikwazo kikubwa sana cha kumfanya binti au kijana kujitambua.
5. hali ngumu na mazingit=ra mabovu ya vyuoni nayo ni changamoto |
No comments:
Post a Comment