Tuesday, June 12, 2012

COMMON MISTAKES THAT MANY FINANCE STUDENTS USED TO MAKE IN THEIR PRESENTATIONS

Harry Kageyo
One of the student at University of Dar es salaam speak out the common mistake made by many of students when they are doing their final presentations,,,, And these are,,,


1) We are here to present question number.....
You present the answer not the question!!!!!!!!!!!!!

2) We gonna.... We wanna.....
You are an interlectual, why use slang words in formal presentations?Anyway... many people would love to speak like peple from the the US ghettos who are strugling to speak proper English (tuna kasumba ya kuiga yasiyo ya maana). If you want to speak slang, speak it throughout the presentation.

3) I welcome my fellow mmmmmm.......( Unamumunya maneno huku ukikimbilia pembeni). Hatuelewi unayemualika kuongea ni nani na anakuja kufanya nini?. Darasani tulikiwa tunafahamiana kama si kujuana, ila huku uraiani lazima watu wasikie unamualika nani. Jiamini! I welcome my fellow group member Mr.... to continue with the next part of our presentation. Ni kiingereza safi, huna haja ya kukimumunya. Halafu hata ukikosea na si lugha yako uila ujumbe umefika, atakae kucheka ni mjinga. Ona gavana wa bank ya China kiingereza kama cha mtoto wa la 5 "Mtu Kwao Primary School" ila wazungu wanamtegemea awatatulie matatizo yao ya kiuchumi kwa sasa.

4) Kunon'gona.... Jamani.... Mbona ......... watu wengine husifika kuwa na sauti kubwa ila pale mbele kwa pilato Lwiza watu kama vile wanajifunza kutoa sauti

5) kutetemeka... Hivi unatetemeka nini?? Unatetemeka kuongea na wana finance ambao tulikuwa hata hiyo finance hatujaijua japo 1/3? je ukikutana na wataalam? Ukisimama mahali chukulia wanaokusikiliza kuwa ni vilaza na unawafundisha?

Makosa mengine wadau muongezee.

Ni ushauri tu mana huku uraiani ukufanya hayo makosa hautaambiwa kalete 140, ila utakosa biashara, utaonekana mzembe hutapanda cheo au utaikosesha kampuni sifa yake ya ubora. Jiamini hata kama unahitaji kwenda kozi ya ungéngé baada ya chuo.

Big up sana kwa wale waliokuwa wanasema kwa kiswahili pale neno linapowatoka. Huweki pozi watu wakashtuka. Na ukifanya kwa kujiamini watu wataona tu kwamba umeamua na si kwamba umeshindwa. Mahenge upo????




No comments:

Post a Comment