Tuesday, April 24, 2012

The very best moment at campus

Asikuambie mtu maisha ya campus ni matamu achaaa ukitoa ishu za kusoma soma, Kuna time katika kila semester ambayo a person feels himself or herself so lucky being at that place na sio nyingine ni ile time ambayo boom limetoka na classes bado hazijachanganya,jamaaaan we acha tu hapo ndo raha ya kuitwa mwanachuo wanapoifaidi, I think kila mwanachuo huwaga anaenjoy that moment ukiwaondoa wale wasongo ambao throughout the semester wako busy 24/7 roaming around campus with their books hata muda wa kurelax hawana. There is a time wanachuo wanafululiza safari za kwenda town hata three times in a row per day na wasichoke, hizo safari za ATM jeeeeeee? hapo ndio usiulize cause thats the very best moment na ndio wengi huwaga wanapapatia kupita maelezo,utashangaa toka asubuhi hadi jioni ATM foleni haiishi, shopping zisizoisha, saluni, nani ana nini na yeye awe nacho, lunch na dinner sehemu expensive town, huwaga wanajinomaaaje, nahisi hata home huwaga wanapumzikaga maana simu zinapungua. Sasa ngoja zianze kuisha halafu at the same time assignments na tests zimechanganya, weeee usipime wengi wao wanatamanigi wakimbie hata ATM cards huwaga zinawekwa mbali wasitake hata kuziona.





Staple food ya wanavyuo

Chips nyama choma
From my poor research think chipsi mayai ndo chakula kinachoongoza kuliwa sana kwenye mavyuo zaidi ya chakula kingine chochote maarufu hapa tzee. Yaani I keep on wondering cause mwenyewe have been addicted to this food hadi basi yaani mpaka najishangaa, being chipsi mayai au chipsi mishikaki bila kusahau sausage, tomato na mapilipili has been ma deadly disease, some of ma few friends are sometimes against with this food ila mwenzao sisikii lolote la kuambiwa kuhusu that food.


Vitumbua

Asa cha kushangaza sasa wengi wetu tukirudi majumbani kwetu during holidays hizo chipsi tunakuaga hata hatuna habari nazo sasa sijui kwanini?, nimekua nikijiuliza ilo swali toka first year hadi leo na sijaweza pata majibu.
Written by Neema Nyoni

4 comments:

  1. great post, ila ndio hivo maisha ya chuo kuna kipindi yana raha zake ila kuna kipindi panakua kama jela... but all in all its cul,

    ReplyDelete
  2. Hivyo vitumbua vinanitamanisha aiseee, huku kwetu ninakokaa ukivinunua wanakuita wa bushi eti...!

    ReplyDelete
  3. yeah its true maisha ya chuo matamu ila wale tulio huku UK chuo hatukifaidi sana coz huku we ndo baba we ndo mama so uko busy na maisha na chuo but Tz atlist unapakuelemea so ukipata bum lako aah basi unalitumia vzuri huku hamna cha bum unafanya kazi hela unayopata unaenda kulipia kodi na nauli, so u can imagine wat a life..... enjoy weneva u get a chance

    ReplyDelete
  4. worry out salica, but also you have da chance to enjoy am sure there are best ever huko,,!!!

    ReplyDelete