Monday, April 23, 2012

Kesi ya LULU kusomwa tena kesho mahakama KISUTU

Kesi ya kuhusiana na mauaji ya "Steeven Charles Kanumba" iliyo muhusisha msanii "Elizabety Michel Kimetete" maarufu kwa jina LULU kesho yatajwa tena mahakama ya hakimu mkazi Kisutu, ikiwa imeshatajwa mara moja na kwa upande wa mashitaka kudai kuwa unaendelea na uchunguzi nakupelekea mtuhumiwa lulu kuendelea kusota rumande takribani wiki mbili sasa,!

No comments:

Post a Comment