Tuesday, April 24, 2012

The beauty WARDA speak out about LULU


The former beauty funny girl from Mzumbe university, Ador Jewel (WARDA) she speak out bout Lulu, and she said through facebook, tweeter anf what's up that " wanao kwenda jela sio wote wana hatia " this was coming becouse of the out going case bout the death of Steven Kanumba, ambayo inamkabili Elizabety Michel,("lulu"), ambaye alisimama tena mahakamani kisutu jana iliposomwa kesi yake na kuhairishwa kwauchunguzi zaidi hadi may 5 mwaka huu,
lot of coments coming out after her sadness response bout lulu and people keep on saying,,,
    George Anton Mama ake alikua analalamika mwanae hasomi tena anacrame script tu.......angesoma kwa bidii kwa umri wake angeakua form 5 au 6....na sio kuzunguka na wanaume wenye umri wa baba mdogo zake....lulu amejitakia haya......hata kama hajaua kwa makusud ila hakutakiwa kuwa maeneo yale...angetakiwa amelala....warda umri huo ulikua hufany anayofanya lulu and ww ni msom kidogo.....
Chuma Salum WENGINE WANAKWENDA KWA KESI ZA KUSINGIZIWA BUT EVERTHING GONNA BE ALRIGHT.
Hamington Bildad poor girl!.Mungu amtangulie
David Stewart inasikitisha sanasana na umri wake,jela si mchezo...
Babi D'e Shebby Mungu Atakusimamia Dont Give up
Flora Malanga ‎@amina huyu mtt anateseka kwa ule ukweli hakujua kama yatafika hapo. Pole lulu. Mungu yupa1 nawe
Andrerw Zefania it will get end soon.brave heart to brave people
Henry Thomas Mwaipopo BINADAMU WOTE SI SAWA KWA AKILI HATA ROHO,KWA MIMI NAMUOMBEA SANA LULU ATOKE,KWA SBB YALIYOTOKEA SIDHANI KAMA ALIJUWA YATAKUWA HIVYO NAKUOMBEA KWA MUNGU HUWE HURU.
Henry Thomas Mwaipopo I SURE UKWELI UTABAKI KUWA UKWELI...DOGO LULU OMBA MUNGU AKUPE UJASILI NA AKUTIE NGUVU YOTE HAYA NI MAPITO MUDA MFUPI TU UTAKUWA HURU.

No comments:

Post a Comment