Tuesday, April 24, 2012

MISS TALENT MZUMBE 2012/2013Bright, beauty and very talented Vanessa Mwanga made it last Friday usiku by being crowned Miss talent Mzumbe 2012/2013 kwa kuwapiga chini washiriki wengine waliojitokeza kwenye shindano ilo. Vanessa is also shining when it comes to academics. The pretty baby is so cute and hauhitaji extra eyes kwenye ilo na alikua na kila kigezo cha kuibuka mshindi usiku huo. Vanessa is currently a second year student at mzumbe pursuing bachelor of accounting (business accounting and finance) maarufu kama BAF ,toka mwanzo wa shindano Vanessa alionekana kusumbua sana na urembo wake kwa kuwaacha mbali washiriki wenzake.Aidha shindano ilo liliambatana na kumtafuta Mr. talent mzumbe wa 2012/2013.

Mzumbe university imekua ikifanya mashindano haya kila mwaka na washind hutumia vizuri muda wao wa ushindi as the good representative in the unversity social activities, aidha Mr and Miss talent Mzumbe hupena kushiriki katika shughuli tofauti tofauti chuoni na nje ya chuo, kudumisha ushirikiano kati ya wanafunzi na walimu pia for more friendship with orther universities and colleges

Written by Neema Nyoni

2 comments:

  1. congratulation, ila akushindi wewe, vipi mbona hujagombea?, imetulia japo umetupia swaga nyingi hapo kati kwenye uandishi, ha ha ha its so happpppppy

    ReplyDelete
  2. we neema nyoni,,, comments zipo check on this

    ReplyDelete