Sunday, April 29, 2012

SIMBA YA ENDELEZA KICHAPO,,,

simba FC

Wanamichezoooooo,,, baada ya simba kuitandika setif huko kwaoo uwarabuni sasa yatembeza kichapo kikinge kwa vijana wa Sudan, Al ahly shandy bao 3-0 katika mchuano ya round ya 16 bora kuwania kombe la shirikisho la kandanda Africa(CAF) , katika mchezo uliofanyika viwanja vya taifa Dar-es salaam,

wekundu wa  msimbazi ndie timu pekee inayo wakilisha afrika mashariki katika mashindano hayo baada ya kumfukuza mwarabu wa Setifu, Algeria mnamwo nwanzoni mwa mwenzi huu,,, leo wang'ara tena kwa ushindi mnonoooo,!!!

1 comment: