Thursday, April 26, 2012

MSAADA KATIKA UJAZAJI FORM ZA HESLB,

Mmoja wa wanafunzi wakitanzania wasomao Algeria alijaribu kutoa ufumbuzi wa tatizo mojawapo katika ujazaji wa form za mkopo,,,!
Uled Fikiri said to his friends through facebook that,,,,!
 "Hellow!guys wana (ATSA) if u've faced database error problem(long details) ktk ujazaji wa form za bodi,go back to the page then pale kwenye kujaza mobile phone number usianze na code namba ya Algerie(+213) yaani jaza namba yako kawaida tuu bila code namba!then endelea.....bonne courage".
Huku zoezi la ujazaji wa form hizo ukiendelea, wanafunzi wasomao nchi za nje wamekuwa wakitoa malalamiko ya kuhesabiwa miaka tofauti na pamka sasa hakuja tolewa tamko rasmi na bodi ya mkopo, Aidha viongozi wa vyama mbalimbali vya wanafunzi wasomao nje ya Tanzania tayari wameshatoa ripoti yatatizo hilo nakujibiwa kuwa litafanyiwa kazi,
Baada ya ndugu Uledi kujaribu kutoa ufafanuzi wa tatizo mojawapo katika ujazaji form hizo wanafunzi wamekua wakikoment katika post hiyo na kutoa shukrani zao kama hivi,,,,,
Mustapha Hemed Kilibwaki Yap' naona sasa elimu ya LINUX na CISCO zinaanza toa matunda,,Lol N'way, thanx kwa ufumbuzi,,Kandaa!

Aknr Knoor Dah, itabidi na mimi nikufuate unipige pindi, maana wewe na Mtchad (Mustapha) mmeshatoka. :) Keep up the good work.

No comments:

Post a Comment