Sunday, October 21, 2012

WANAFUNZI WA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI ARUSHA(AJTC) WALIVYOTEMBELEA CHUO CHA WALEMAVU USA-RIVER ARUSHA


Mkurugenzi wa Wazalendo 25 Blog na Mwanachuo wa (AJTC,mwenye balck t-shirt) akipiga picha ya pamoja na baadhi ya wanachuo wawili wa chuo cha walemavu Usar-River Arusha pamoja na wanachuo cha uandishi wa habari Arusha (AJTC).

Madam Neema Ezekiel akipiga picha na wanachuo cha ulemavu cha Usar-River Arusha
Kiongozi mkuu wa wana-AJTC akipiga picha na wanachuo cha ulemavu cha Usar-River Arusha
Presenter wa matukio yote, wa AJTC akipata machache toka kwa wanachuo cha ulemavu cha Usar-River Arusha. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment