Sunday, October 21, 2012

ALGERIA ; RIPOTI YA POSHO KWA WANAFUNZI,, UONGOZI WASISITIZA UKATA UMEISHA KWA BAADHI YA WATU !!!

BAADA YA UKATA WA MUDA MREFU WANAFUNZI WAKITANZANIA WALIOPO INCHINI ALGERIA WALIANZA KUONE KANA KATIKA MAJEONGO YA OFISI ZA BENK YA BEA LEO ASUBUHI NA MAPEMA WAKIULIZIA KAMA POSHO YAO IMESHA FIKA BENK HAPO,

BEA MAKAO MAKUU WAMESEMA PESA JARIBUNI KUPITA MCHANA, " L'apres mid inchalla"!!!

MNAMO TAREHE 17 OCT 2012 WANAFUNZI HAWA WALITUMIWA EMAIL NA BANK M KUTAARIFIWA KUWA POSHO YAO IMESHA TUMWA NA WANAWEZA PITA BEA SIKU YEYOTE KUCHUKUA, PIA TAARIFA HIZO ZILIAMBATANA NA EMAIL KUTOKA KWA SERIKALI YA WANAFUNZI WA KITANZANIA NCHIN ALGERIA (ATSA) KUWATAKA WANAFUNZI HAO KUPITA BANK BAADA YA WIKI MOJA KUHAKIKI KAMA PESA ZAO ZIMEINGIA

AIDHA UONGOZI WA WANAFUNZI ULIWATAARIFU PIA POSHO HIYO IMETUMWA KWA YALE MAJINA 189 YALIOTOLEWA KWA ROUND YA KWANZA NA MAJINA MENGINE YAKO MBIONI KUTUMWA WIKI HII

PIA UONGOZI WAWANAFUNZI ULISISITIZA KUPELEKWA KWA MALALAMIKO MAPEMA BAADA YA KUGUNDUA UNATATIZO JUU YA POSHO YAKO,,,,,

REPOTER WETU ALIPOKUWA AKIONGEA NA WANAFUNZI WA MIKOA MBALIMBALI NCHINI ALGERIA WALIKUWA NA HAYA YAKUSEMA,,,,,

MKOA WA ALGIER,,, "KWAKWELI TUNASHUKURU KWA SEREKALI KUTUKUMBUKA MUDA HUU MAANA HALI ILIKUWA MBAYA SANA,,,, TULIKUWA TUNA WAZA VIPI TUTAPOKEA WAGENI KATIKA SIKUKUU HII YA EID, NA KAMA INAVYO JULIKANA SISI NDIO TUPO MJINI,,,,,, ILA TUNAWASHUKURU SANA BODI KWAKUOKOA AIBU HIII,,,,, "

MKOA WA ORAN.; "AMA HAKIKA BWANA YU MWEMA,,,, NJAA ILIKUWA INATUMALIZA UKIZINGATIA NA HIZI APATIMENT TULIZO KODI SIJUI NEXT WIKI NINGE MWELEZA NN MWARABU,,,,,,!!!!"

MKOANI BEJAIA..; "KWAKWELI HALI HAIKUWA SHWARI BAADHI YETU TULIANZA KUUZA PAMBA KUJISITIRI NA MISOSI ILA SASA NDIO WATATUKOMA NITATOKELEZEA SUBIRI MAUZO FB,,,,,!!!"

HIVYO NDIVYO HALI ILIVYO KUWA KATIKA BAADHI YA MIKOA HUKO ALGERIA,,,, BAADA YA KUKUMBWA NA ADHA YA UKATA WA KIPINDI CHA MIEZI MIWILI NA NUSU,,,,!!!
TUTAWALETEA HABARI ZAIDI YA YALIO JIRI HUKO BANK BAADA YA MUDA MFUPI
THE REPORTER..... ALGERIE,,,,,

No comments:

Post a Comment