Tuesday, August 27, 2013

TANGAZO KWA WANAFUNZI WALIOHITIMU VYUO VYA AFYA MACHI , 2012


Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inapenda kuwajulisha  wanafunzi wote waliohitimu  vyuo vya afya nchini mwezi Machi 2012, kufika Wizarani ili waweze kuchukua barua za kupangiwa vituo vya kazi kabla ya tarehe 30 June,2012.
 
Pia waombaji wengine waangalie majina yao kwenye website ya Wizara www.moh.go.tz

Imetolewa na:

Regina L. Kikuli
Kaimu Katibu Mkuu

No comments:

Post a Comment