Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na Balozi wa Korea Kusini, Young Hoon Kim, kwa pamoja wakikata utepe kuzindua rasmi chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi cha VETA kilichojengwa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, wakati wa hafla ya ufunguzi wa chuo hicho iliyofanyika jana Aprili 30, 2012, mkoani Manyara.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsikiliza maelezo kutoka kwa Mwalimu wa ufundi wa Magari wa Chuo kipya cha VETA cha Mkoani Manyara, Treekta dogo linalotumika kulimia na kupandia Mbegu za mazao, wakati aliokuwa akitembelea na kukagua majengo mapya ya Karakana ya chuo hicho baada ya kukifungua rasmi jana Aprili 30, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja kwa kumbukumbu na
viongozi wa Chuo cha Veta na viongozi wa Serikali baada ya ufunguzi
rasmi wa chuo hicho uliofanyika jana Aprili 30, 2012 mkoani Manyara.
Picha na Muhidin
Sufiani-Ofisi ya Makamu Wa Rais
No comments:
Post a Comment