Sehemu ya umati wa waombolezaji waliofika kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Mafisano. Picha na Dotto Mwaibale.

Waziri
wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mh. Samuel Sitta akilia kwa uchungu
baada ya kuaga mwili wa aliyekuwa mchezaji wa kimataifa wa Klabu ya
Simba Patrick Mafisango.

Tulikupenda sana Kampumzike kwa Amani.

Mchezaji
wa Simba Haruna Moshi a.k.a Boban akiwa haamini macho yake baada ya
kuutazama mwili wa mchezaji mwenzake. Aliyemshikilia ni Mwenyekiti wa
Simba SC Ismail Aden Rage.

Juma Kaseja akilia kwa uchungu.

Mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi akiaga.

Wachezaji wa timu ya Taifa “Taifa Stars” wakitoa heshima za mwisho.

“Kwa heri Mafisango”

Mashabiki wakilia kwa uchungu.



Kikosi cha Redcross wakitoa huduma ya kwanza.
|
RIP patric
ReplyDelete