![]() |
They say and show who the want, |
![]() |
Melda, at IFM |
![]() |
IFM wadau wakipiga kampeni, what is so funny here is people at night tunafanya kampeni in couples,,! But all in all ujumbe una wafikia wapiga kura wetu, |
![]() |
Mdau akiwa ana piga kampeni katika korido za block D hapa IFM |
![]() |
Kampeni zikiendelea IFM, block D, Mgombea urais akisikiliza matatizo ya wanafunzi nakutoa ufafanuzi atakavyo yakabili wakimpa kura zao |
![]() |
Katika chumba cha wa dada wengine wakiwa wamelala na wengine wakimsikiliza mgombea urais, Kampeni zinafanyika usiku na mchana hapa IFM, |
No comments:
Post a Comment