WAHITIMU WAKIWA KATIKA MAANDAMANO KUELEKEA CHUO.
![]() |
| BENDI IKIWA INAWASINDIKIZA HAHITIMU |

![]() |
| KILA MTU ANA FURAHA SASA KAMA WANAVYO ONEKANA |
![]() |
| MEDIA NAO HAWAPO NYUMA KUCHUKUA MATUKIO YA MOJA KWA MOJA |
![]() |
| WAHITIMU MBALIMBALI WAKIWA WANAELEKEA CHUONI SASA |
![]() |
| MDAU MKUBWA WA MBEYA YETU, FRANK PESS AKIWA NA JOHO LAKE KUELEKEA KATIKA MAHAFARI |
![]() |
| HAPA MAANDAMANO YANAENDELEA |






No comments:
Post a Comment