Tuesday, September 4, 2012

UPDATES!! TUKIO ZIMA LA MAZISHI(SAFARI YA MWISHO) LA MPIGANAJI MWANDISHI WA CHANEL TEN DAUDI MWANGOSI, TUKUYU MBEYA.


Wakiwa wanafanya ibada ya Mwisho kabla ya kuanza maziko

 Waandishi wa Habari wakiwa wamebeba Mwili wa Marehemu kuelekea Makabirini
 

Hapa wakiwa wanashusha mwili wa marehemu katika Nyumba yake ya milele

Mwili wa Marehemu Daudi Mwangosi ukiwa Tayari k
atika Kaburi

Shughuri za kuzika zimeanza

 Mazishi yanaendelea 

 Mke wa Marehemu Daudi Mwangosi akiweka Shada la Mauwa kwa machungu

Mke wa Daudi Mwangosi akiwa analia kwa uchungu katika Kaburi la Marehemu Mumewe

Watoto wa Marehemu wakiwawanaweka mashada ya maua sasa
Ni ngumu sana Kuamini kwa mke wa Marehemu lakini hali ndivyo ilivyo kuwa akiwa na huzuni kubwa
 Dr Slaa akiweka Shada la Mauwa 
Dr Slaa Baada ya kumaliza kutoa heshima za mwisho

Mh. Mark Mwandosya akiweka Taji la maua pamoja na mke wake 
 Rais wa UTPC akiweka shada la Maua
 Ndugu wa Marehemu akiweka shada la Maua

Mwenyekiti wa Mbeya Press Club akiweka shada la maua 
Mwandishi Mkuu wa Mbeya  yetu, Ndugu Joseph Mwaisango akiwa anatoa heshima zake za Mwisho katiaka Kaburi
Wananchi wakiwa wanarejea baada ya mazishi

Waandishi wa Habari wakichukua Tukio Live `
Na huu Ndio Mwisho wa tukio zima la Mazishi ya Ndugu yetu, Mwanaharakati, Mpiganaji Daudi Mwangosi aliyekuwa Mwandishi wa Chanel 10.

TONE MULTIMEDIA COMPANY LIMITED AMBAO NI WAMILIKI WA MTANDAO HUU WA MBEYA YETU, TUNAWAPA POLE SANA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WALIOPATWA NA MSIBA MKUBWA, TUKIWA WANAHABARI PIA TUMESIKITIKA NA TUNASIKITIKA SANA KUTOKANA NA MSIBA HUU. MUNGU AILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU.

Tukio zima Limeletwa kwenu na Tone media Live Group ambapo Mpiga picha Mkuu alikuwa ni Ndugu Joseph Mwaisango  na Iliye rusha Tukio zima kuanzia mwanzo mpaka mwisho toka pande za studio ni Fredy Tony Njeje.

No comments:

Post a Comment