![]() |
Vuvuzela nalo lipo katika harakati zakupata viongozi bora wa UDOM-2012/13 |
![]() |
Harakati hizi ni kama sherehe chuoni hapa,,, libeneke la kukata mauno nalo lipo |
![]() |
Wadau Wakisubiri Matokeo ya Uchaguzi Kutangazwa katika Kitivo cha Elimu UDOM
Hii ni moja ya Mbao Za Matangazo ambapo hizi ndizo zilizojaa kwenye mabango ya matangazo Chuo Kikuu Cha Dodoma
|
No comments:
Post a Comment