TCU YA TOA TENA NAFASI ZA MAOMBI VYUO VIKUU, MWISHO 07.09.2013
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inatoa nafasi nyingine kwa watu wenye sifa za kujiunga na vyuo vikuu kutuma maombi yao kwa msimu wa masomo wa 2013/2014.
Mwisho wa kutuma maombi hayo ni tarehe 07.09.2013.
No comments:
Post a Comment