Monday, April 30, 2012

BAADA YA KUPATA BOOOM, UDSM at MLIMANI CITY

Though its raining but watu wamekomalia ATM paka mida hii na mwisho wao nikwenda kutumia mahela viwanja vya MLIMANI CITY, ni wanafunzi wa vyuo mbalimbali nchini TZ baada ya kupata boom (mkopo) huenda kuvisit viwanja vya starehe kama MLIMANI CITY, SAMAKI SAMAKI, na SAVANA sinza, check pipo wanavyo tumia hapa, siku moja moja tunasahau shida bana,,,,,,!!!!!
siku moja moja tunabadili msosi

mlimani city pafurika vijana

mdau akitoka kuchukua ma vumba

vijana  wakila bataaa,,,


 

Airtel Yatoa Msaada Wa Computer na Vitabu Kwa Chuo Kikuu Cha Dodoma

Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando akikabidhi baadhi ya vitabu  vya chuo kikuu vilizotolewa na Airtel kwa chuo kukuu cha Dodoma (UDOM) kwa Makamu Mkuu wa chuo hicho Profesa Idrisa Kikula (kulia) jana wakati wa hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika chuoni hapo.  anaeshuhudia ni Mkuu wa wilaya ya Bhahi Bi Betty Mkwasa (kati). Airtel imetoa vitabu 104 na computer 20 vyote vyenye  thamani ya milioni 25/- TZS ikiwa ni muendelezo wa Airtel katika kuchangia sekta ya Elimu nchini.
Mkuu wa wilaya ya Bhahi Bi Betty Mkwasa, akiwa na Makamu Mkuu wa chuo cha Dodoma (UDOM) jana pamoja na wafanyakazi wa Airtel na baadhi ya wanafunzi wa IT chuoni hapo wakiwa wameshikilia vitabu vilivyotolewa msaada na Airtel kwa chuo hicho wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya vitabu 104 na kompyuta 20 vyote vyenye  thamani ya milioni 25/- TZS  toka Airtel ikiwa ni muendelezo wa Airtel kuchangia sekta ya Elimu nchini.

KITIVO CHA ELIMU UDOM CHAIBUKA NA USHINDI WA VIKAPU 58 KWA 53 DHIDI YA DODOMA SPURS KATIKA LIGI YA MPIRA WA KIKAPU MKOANI DODOMA

Mchezaji wa timu ya Kitivo cha elimu cha Chuo Kikuu Cha Dodoma akijaribu kufunga katika mechi ya ligi ya mpira wa kikapu iliyoanza leo na timu hiyo ya walimu kuibuka washindi kwa vikapu 58 kwa 53 dhidi ya Timu ya Kikapu Ya Mkoa Wa Dodoma
Benchi la Makamisaa likifuatilia Mchezo huo Kwa Makini
Baadhi ya Wanafunzi na Wadau wengine wakifuatilia mchezo huo uliokuwa ukichezwa kati ya Timu ya Mpira ya Kikapu kutoka Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma Na Timu ya Dodoma Spurs (Timu ya Mkoa) ambapo timu ya kitivo cha elimu cha Chuo Kikuu Cha Dodoma iliibuka na ushindi wa Vikapu 58 kwa 53 dhidi ya Timu ya Mkoa Wa Dodoma (DODOMA SPURS) katika ligi ya mpira wa kikapu inayoendelea kufanyika katika viwanja vya Kitivo Cha Sayansi ya Jamii,Sanaa na Lugha cha Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM).

TANZANIA YA KESHO,,,



FUNNY WIKEND IN LONDON

People in London wakisherekea sherehe za muungano wa Tanzania na Zanzibar walizo zifanya kipind cha wikend kutokana na shughuli za hapa na pale walizokua waki fanya siku za wiki,,,
 Onaaa watu wanavyo kumbuka na kuenzi home life when they are abroad,,,,,!!!!!
vazi la kitanzania,







RECENT SCHOLOARSHIPS NOTIFICATION

Recent USA Scholarships

Ngwang Choephel Fellowship Grant Program, 2012 2012 Seafair Foundation Scholarship Program for Women, USA 2012 International Graduate Student Scholarship at Montclair State University, USA ARRS/Leonard Berlin Scholarship in Medical Professionalism for Radiologists at USA, 2012 2012-2013 Early Childhood Educators (ECE) Scholarship Program, USA

Women Scholarships

2012 Seafair Foundation Scholarship Program for Women, USA 2012 Bauhaus-University Weimar Scholarship for Women, Germany Women in Business Scholarship at Cass Business School MBA, 2012 UK USAID Women’s Leadership Program in Agriculture, 2012 2012 MBA Part-time:Female Leader of the Future Scholarship at University of Strathclyde, UK

Recent UK Scholarships

Andrew W. Mellon Foundation Research Fellowships at the Needham Research Institute, Cambridge, UK Tinson Scholarships for Postgraduate Students at Essex University, UK 2012 BA/Leverhulme Small Research Grants in Humanities and Social Sciences, 2012 UK Postdoctoral Research Fellowship in Business at University of Leeds, 2012 UK Institute of Gerontology Bursaries at King’s College London, 2012 UK

 Recent India Scholarships

International Students Scholarship at Acharya Institutes, India 2012 Research Position in Psychology at Pondichery University, India 2012 Villgro Fellowship Program for Social Entrepreneurs, India 2012 Research Associate Position in Mycobacterium Tuberculosis at University of Hyderabad, India 2012 Research Position at Mahatma Gandhi University, India

LIFE IN AFRICA

 
     Europeans,Arabs, Asian and American tv, they always show they childreans and families that African is the place like hell, people here are suffering and there wis no enjoyment even once, In different television shows and news they use to show Africa as the place for war, the place where people die and place where people are never be civilized yet," The question is why do they keep teaching their societies wrong thing and when is it gonna end?". Actualy in Africa life is not as their home but the realty is not what their talking, we never find good news from BBC, AL JAZEERA, CNN, FRECH TV, and VOICE OF AMERICA, that means they did see our good parts of they fill sorry for our death or what they real meant, and what they want their future generation to look to African people, We realy need to work hard African and show that best things ever been happened then they will talk bout us, let stop fighting, let stop corruption, let stop every madness we have and stand steel create something productive, show our natural resouce and use them effectvely, Africa we are nit like this we have more than what they say,! I LOVE AFRICA,

Sunday, April 29, 2012

SIMBA YA ENDELEZA KICHAPO,,,

simba FC

Wanamichezoooooo,,, baada ya simba kuitandika setif huko kwaoo uwarabuni sasa yatembeza kichapo kikinge kwa vijana wa Sudan, Al ahly shandy bao 3-0 katika mchuano ya round ya 16 bora kuwania kombe la shirikisho la kandanda Africa(CAF) , katika mchezo uliofanyika viwanja vya taifa Dar-es salaam,

wekundu wa  msimbazi ndie timu pekee inayo wakilisha afrika mashariki katika mashindano hayo baada ya kumfukuza mwarabu wa Setifu, Algeria mnamwo nwanzoni mwa mwenzi huu,,, leo wang'ara tena kwa ushindi mnonoooo,!!!

NEWCASTLE STUNNED BY WIGAN

Newcastle's bid for Champions League qualification suffered a reality check on Saturday as Wigan eased their relegation fears with a thumping 4-0 win over the Magpies.
Newcastle had dared to dream of winning a place in European football's elite competition after moving into the top four of the English Premier League last week with their sixth straight victory.
Newcastle stunned by WiganHowever Alan Pardew's side were blown away in a devastating first half display by Wigan, who scored four unanswered goals at the DW Stadium to move three points clear of the drop zone with two games remaining.
Dominant display
Wigan raced into a 2-0 lead inside the opening quarter of an hour, Victor Moses scoring a quickfire brace in the 13th and 15th minutes.
Shaun Maloney added a third for the Latics on 36 minutes before Franco Di Santo made it 4-0 with a long-range effort on the stroke of half-time.
Newcastle boss Pardew blamed his side's loss on a lack of "intensity."
"Forget shape, systems and so on, intensity is everything in football," he said.
"For the first two goals we were really loose and disorganised. It was not until half-time that we got back to our level and showed discipline.
"You'd have to say we got beat by the better team."
Wigan manager Roberto Martinez hailed another fine display from his team, who have also notched wins over Arsenal and Manchester United in recent weeks.
"In every department of the club we know we need to work really hard to keep our dream alive and that comes with belief," he said.
"It's great to beat these sides but that means nothing if we can't achieve our aim. Our aim is to stay in the league and we haven't got enough points. We have two big games left, big finals."
Arsenal third
Newcastle's surprise defeat saw Arsenal cement their grip on third place after battling to a 1-1 draw at Stoke.

STUDENTS VOICE ,,, TO CCM

Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Tanzania wapeleka malalamiko yao kwa katibu wa NEC, mh. NAPE kuhusu mafisadi na ufisadi unao endelea nchini,!!

Nape asoma ujumbe ulio mvutia zaidi

vijana wanoonyesha kuchoshwa na viongozi CCM
kizazi kipya na maana ya mapinduzi




Kwanini wanaume mnapenda kuterekeza Familia zenu?

LEILA SAIDI

Mimi ni mama wa miaka 40 sasa nina watoto 2 lakini nimetengana na mume wangu kwa miaka mitano sasa. Uniwie radhi kwa hii habari ni ndefu sana ila nataka kushare na wamama na wababa kwa ajili ya kile kinachotokea ktk maisha ya ndoa unapobainika udanganyifu kwa mmoja wapo.

Tumekuwa kwenye ndoa kwa miaka 11 mpaka nilipoamua kumuacha mume wangu January 2006, kwa muda wote tulioishi pamoja tulipitia maisha magumu na ya wastani na tulikuwa tunasaidiana sana. Nilikuwa nampenda mume wangu kwa dhati, akiwa hana kitu nilifanya kwa niaba yake na sikuona tatizo.

Mwaka 2002 mume alipunguzwa kazini na kwa maelezo yake hakulipwa hela ya maana, mimi nikaona sio tatizo nilikuwa na kipato cha kutuwezesha kuyamudu maisha ya familia yetu kwa furaha, hapo tayari nilikuwa nimenunua kiwanja maeneo ya Tegeta.

Mume alikuwa hayapendi maeneo hayo ya Tegeta hivyo hakujishughulisha hata kukiona hicho kiwanja. Muda mwingi mume wangu alikuwa anabaki nyumbani mimi nikiwa kazini. Hapo nyumbani tulikuwa na msaidiza wa kazi na watoto 2.

Wakati huo mtoto wetu mkubwa alikuwa anasoma darasa la 2 na mdogo alikuwa chekechea, nilikuwa na akiba niliokuwa naitunza kwa ajili ya kujenga lakini tukajadiliana tukaona bora tununue gari ili mume wangu awe na shughuli kwa kutumia hivyo gari. Mume wangu alitafuta gari nikalinunua na yeye akawa analitumua kama tax. Tatizo likaanzia hapo.

Naomba niwaambie hivi mimi ni mama mwaminifu ninamwamini Mungu katika kweli yote sikuwahi kumfikiria mume wangu vibaya au kama angaliweza kuwa na mwanamke mwingine au kutembea na house girl nilikuwa namwamini sana na nilikuwa bize sana nikidhani namsaidia mwenzangu kumbe wapi.

Saturday, April 28, 2012

SPRING SEASON,, "LE PRINTEMPS SAISON" IN ALGERIA

Michese E.
For more than six months students in Algeria put on lot of clothes including jackets because of  winter and snowing but now they are very happy after the sun shine of spring time,,,, make them come out with different swaga,,,!!!



D'ailleurs nous a été consultant dans différents endroits à travers l'Algérie et j'ai trouvé certains d'entre eux quand ils sont à l'école ou commerces dans les villes
 look some of friends during winter time when they show up in different social networks up load fotoz,,,




Beatrice




































have a luk,,,, people in different swaga  while  waiting for summer time,,, actual you will see now days Algerian swagaaz,,,,,



Salma





HOT JOB LISTS,,,,


Apply for there job opportunity in different place, here are the hottest JOB VACANCIES in Tanzania, dont afraid to leave your CV as many place as you could, Bon  chance,,,

Tours Consultant
Industry: Travel and Tours (Dar es Salaam)
Apply before: Apr 30, 2012
Forex Manager
Industry: Banking (Dar es Salaam)
Apply before: Apr 30, 2012
Deputy Manager - Claims
Industry: Insurance (Dar es Salaam)
Apply before: Apr 30, 2012
Deputy Manager – Underwriting
Industry: Insurance (Dar es Salaam)
Apply before: Apr 30, 2012

Friday, April 27, 2012

BURNING ISSUES EAST AFRIAN INTEGRATION

One of the Mps in East Africa Community Shy-Rose Bhanji from Tanzania, speak out and ask for comments from the society through social network and say's,,,,

Shy-Rose Bhanji 

BURNING ISSUES EAST AFRIAN INTEGRATION: The spirit of EAC Intergation allows free movement of skilled labour, and yet we have not fully utilised the policy. In contrast, we see our neighbours come in our country to utilise the opportunities. Why is it so? what is our shortcoming? What are other burning issues that the EALA Tanzanian MPs should tackle?

Katika sera ya Mtangamano wa Afrika Mashariki ajira za wageni zinaruhusiwa. Hata hivyo Watanzania bado hatujatumia fursa hii kikamilifu, wakati wenzetu wanafaidi na sera hii. Imekuaje? Kulikoni? Je unazo changamoto au kero zozote ambazo Wabunge wa Afrika Mashariki kutoka Tanzania wanaweza kushughulikia?

and the comments where like this,,,,!


  • Pantaleo Anselimu hilo ni moja wapo dada yaan Watanzania tumeminjwa sana

  • Shafii Zubery mimi nafikiri kero hasa ni kuona wenyeji watanzania wanaajiri watu wengine apart from WATANZANIA, wakiamini kuwa wao ndio wanaweza zaidi ya watanzania

  • Dickson Ng'hily Datz Y u've been elected to tackle such issues so as the Tanzanians should benefit from de policy...

  • Shafii Zubery katika CCM waliobakia wewe dadatu Shy-Rose Bhanji ndio umebakia lakini angalia ucje ukashawishika na ukapoteza muelekeooooo

  • Anna Nkinda inawezekana sheria ya nchi yetu inaruhusu wageni wengi kuajiriwa. mf. kenya mgeni atapata ajira pale ambapo mwenyeji hana sifa ya kufanya hiyo kazi

  • Clement Marandu There are more opportunities in Tanzania dada Shy-Rose Bhanji, land, natural resources, laws favouring imigrants/expatriates etc no wounder they are more Kenyans here

 

Thursday, April 26, 2012

MSAADA KATIKA UJAZAJI FORM ZA HESLB,

Mmoja wa wanafunzi wakitanzania wasomao Algeria alijaribu kutoa ufumbuzi wa tatizo mojawapo katika ujazaji wa form za mkopo,,,!
Uled Fikiri said to his friends through facebook that,,,,!
 "Hellow!guys wana (ATSA) if u've faced database error problem(long details) ktk ujazaji wa form za bodi,go back to the page then pale kwenye kujaza mobile phone number usianze na code namba ya Algerie(+213) yaani jaza namba yako kawaida tuu bila code namba!then endelea.....bonne courage".
Huku zoezi la ujazaji wa form hizo ukiendelea, wanafunzi wasomao nchi za nje wamekuwa wakitoa malalamiko ya kuhesabiwa miaka tofauti na pamka sasa hakuja tolewa tamko rasmi na bodi ya mkopo, Aidha viongozi wa vyama mbalimbali vya wanafunzi wasomao nje ya Tanzania tayari wameshatoa ripoti yatatizo hilo nakujibiwa kuwa litafanyiwa kazi,
Baada ya ndugu Uledi kujaribu kutoa ufafanuzi wa tatizo mojawapo katika ujazaji form hizo wanafunzi wamekua wakikoment katika post hiyo na kutoa shukrani zao kama hivi,,,,,
Mustapha Hemed Kilibwaki Yap' naona sasa elimu ya LINUX na CISCO zinaanza toa matunda,,Lol N'way, thanx kwa ufumbuzi,,Kandaa!

Aknr Knoor Dah, itabidi na mimi nikufuate unipige pindi, maana wewe na Mtchad (Mustapha) mmeshatoka. :) Keep up the good work.

BE WHO YOU ARE,, and SHOW PEOPLE WHAT YOU LIKE,,,,


Most of university and college girls and boys they like to show how they are and what the like, most of them use to show it in facebook or other social networks and some of them show it through day to day life,,, as you can see to be a celebrate in University or College take some effort, money and will to sprnd time for finding it,,,!
Look the list of popular student in different college and universities:

Husnaty Abduly

Languages English, Swahili and Luganda
Word of wisdom
"i like fashion am fashionable girl i spend most of my money on clothers and shoes and i like who i am and i appreciate dat and thenx 2 all mai friends who loves me and support me 4 real and 4 dose haters u have 2 knw dat u makes me feel stronger more than ever coz i knw its not easy 4 every one 2 like me coz its nature".




Ador Jewel

Studied at Mzumbe University, Morogoro, Tanzania
Languages English, and Swahili
Word of wisdom
"m kind nd gd lukng,
m nt proud f ma self bt dat da truth. i h8 2 b disappointed
meet me n u wl gt 2 knw abt me".



 

 



Issah Matimbwa

  Study at Université De Bumerdes, ALger, Algeria
  Languages English, Swahili, Turkish, Arabic, and French.
  Word of wisdom
  "Travelling in different places in the world is what i like, make friend   with everyone and help others where i should to is what always i do, make   changes in good way is what i am capable of,,! love poltics,".

TANZANIA STUDENTS IN CHINA CELEBRATING UNION DAY


Tanzania Students in China, celebrating Union Day
of Tanganyika and Zanzibar
at Hong Kong, China
Wanafunzi wakitanzania who studying in China walianda sherehe za maazimisho ya muungano wa Tanzania and Zanzibar, sherehe hizo zilifanyika leo tarehe 26/4/2012, wanafunzi hao ambao wapo China kimasomo walijumuika na watanzania wenzao nchini kote katika kuadhimisha sherehe hizi kubwa ikiwa ni miaka 48 tangu muungano wa nchi hizi mbili, Katika sherehe hizi wanafunzi kutoka miji mbalimbali nchini China walijitahidi kuhuzuria katika hafla hizo which they said
" we just coming from far away to Hong Kong just to be togeza with our friends as we make our China -Tanzanian students cooparation to be more strong and be together,"  that was the one of the student who talk with us,

They show how the unite as a symbol for UNION DAY
Also students who study in China they said to they wish to influence more students who finish their A-level in Tanzania to find the chance to go there and study for their high education level also they said there is chance of schoolarship which are always given out for more than 100 students from Tanzania to study in China, they keep on insisting  that China is a good place more developed and there is the chance to learn more things which will be helpfull for our country when we be back home,


Masongi ya kichana mixer na kiTanzania make people fill at home,
enjoyment which has been offerd by the China food restaurant


FEZA ALUMNI BONANZA AT GYMKHANA



Haya WADAU!
Wale waliokuwa wanazozana zozana katika facebook tu sasa muda umefika tuone zile njonjo zao!
FOR THE FIRST TIME in history of FEZA ALUMNI…
We are organizing a one day FOOTBALL BONANZA…at  GYMKHANA GROUNDS and each year since 2001 graduates to february 2012 A level graduates will participate…
Of course wakongwe tutawachezesha na wakongwe wenzao … Maana kuna watu tayari wana vitambi :)

Date: 26th April 2012, Thursday, Union day.




Venue: Gymkhana Grounds

Time: From 1pm afternoon sharp till 6.30 pm

DINNER WILL BE PROVIDED!
 We expect EVERY GRADUATE to participate… and apart from football many other SUPRIZES are awaiting!