Thursday, May 31, 2012

Graduates of Dalian University of Technology In China Under Fire For Burning Building Graduation Celebration Photo

Students at Dalian University of Technology in China are under fire - literally -- with school officials after a graduation photo of a group throwing their hats up in the air with a building burning as the backdrop went viral online.
(Photo: Netizen "Brent-J")<br>Students at Dalian University of Technology in China are under fire - literally -- with school officials after a graduation photo of a group throwing their hats up in the air with a building burning as the backdrop went viral online. The graduates are seen in the photo unfazed by the dormitory which appears to be engulfed in a plume of smoke in the background while wearing their gowns and throwing their caps in the air.The graduates are seen in the photo unfazed by the dormitory which appears to be engulfed in a plume of smoke in the background while wearing their gowns and throwing their caps in the air.
According to ABC News, dorms at the Dalian University of Technology City College in Liaoning province were not actually up in flames as the photo appears. In reality, a warehouse behind the school's dorms reportedly caught fire just before the graduation ceremony began on Sunday. Students were evacuated from the building and relocated to a nearby hotel when thick clouds of smoke became visible. That's when this group of 23 students snapped the photo.
 
The Daily Mail reported that the photo of students with the building supposedly up in flames went viral, having been shared more than 3,000 times in two hours on Chinese social networking sites. Similar photos were taken at the scene, but the one posted by Netizen "Brent-J" was the most popular.
"It's too big a coincidence to see the university on fire today, the students are filled with love in
seeing the school burn," Brent-J wrote, according to Want China Times.
University officials were very angered the photos went viral on the internet, prompting the release of a photo series on the university website showing other students helping put out the fire who "show the true spirit of the college. Our students should not be celebrating destruction."

WABUNGE WA CHADEMA WAAGWA RASMI KWA KUANGALIA MECHI YA KIMATAIFA.

Baaada ya kazi kubwa ya kuzindua na kuimarisha tawi la chadema Washington Dc Maryland na Virginia,Wabunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)Mhe. Peter  Msigwa na  Mhe. Nassari Joshua, Al-Marufu  Dogo janja, Usiku wa Jana Jumatano Mei 30,2011  waagwa rasmi kwa kuangalia mpambano wa kimataifa kati ya US na Brazil ndani ya uwanja wa Fedex, uliopo Landover Maryland Nchini Marekani.

Wabunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe, Peter Msigwa na Mhe. Nassari Joshua, Al-Marufu Dogo janja, wakiwa na uwongozi wa tawi la Chadema Washington Dc Libe Mwangombe, wanne, Mjomba a.k.a Cosmas, Mzee wa swahilivilla Aboh Shatry wa pili kulia, pamoja na mashabiki wa US, wakiiunga mkono bendera ya taifa. (Picha maelezo na swahilivilla.blog spot.com).
Idadi ya wapenzi waliohudhuria katika mpambano huo ni 67,656 wakiwemo  Mhe. Nassari Joshua pamoja na Mhe. Peter Msigwa. 
Wabunge wa chama cha Chadema wakipata flash ya pamoja na warembo wa Kibrazil ndani ya uwanja wa FedexField, uliopo Landover Maryland Nchini Marekani.
Picha ya pamoja na viongozi wa juu wa Chadema kwenye mpambano wa US na Brazil Usiku wa kuamkia leo  Alhamis Mei 31,2012 ndani ya ndani ya uwanja wa Fedex, uliopo Landover Maryland Nchini Marekani.
Nabendera ya Taifa wakishangilia Bao la  kwanza la Brazil lilifungwa kwa Penalti na mchezaji Neymar.
Wachezaji wa Brazil wakilinda ngome yao kwa kuwadhibiti timu ya US kwenye mechi hiyo ya kirafiki ambapo timu ya Brazil waliweza kuwabamiza US bao 4-1 nyumbani kwao.
US. hoi kwa Brazil baada ya kubamizwa bao nne bao la kwanza lilifungwa na Neymar, na lapili na Thiago mnamo wa dakika ya 11, kipindi cha kwanza. bao la US lilifungwa na Hercules Gomes dakika ya 44 kipindi chakwanza hadi mapumziko Brazil 2 US 1 kwenye mchezo wa kirafiki.
Forward wa United States Landon Donovan, akipandisha majeshi juu huku alidhibitiwa na Brazil defender Marcelo wa Brazi katika mpambano wa kirafiki.
Hivyo ndivyo ilivyo katika uwanja wa FedexFeild, uliopo Landover Maryland Nchini Marekani .

MISS UNIVERSE TANZANIA 2011/2012 KESHO KUONGOZA HARAMBEE YA KUCHANGIA MFUKO WA SARATANI YA MATITI TANZANIA .


Na.Mwandishi wetu
Mrembo anayeshikilia taji la Miss Universe Tanzania 2011/2012 Nelly Kamwelu kwa kushirikiana na Mfuko wa Saratani ya Matiti Tanzania (Breast Cancer Foundation) leo atafanya harambee ya kuchangia mfuko wa saratani ya matiti itakayofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Harambee hiyo imepangwa kuanza saa 1.00 usiku kwa mujibu wa muandaaji wa mashindano ya Miss Universe Tanzania na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Compass Commutations, Maria Sarungi Tsehai.
Maria alisema kuwa katika hafla hiyo kutakuwa na mnada wa kito cha Tanzanite ambayo imetolewa maalum na  kampuni ya Richland Resources kwa ajili ya kuchangia mfuko huu. Pia picha ya Mrembo wa Miss Universe Tanzania itanadiwa katika mnada huo.
Mrembo Nelly Kamwelu toka achukue taji la Miss Universe Tanzania 2011, amekuwa akifanya kazi bega kwa bega na mfuko wa saratani ya matiti ikiwamo kusaidia kutoa elimu katika shule mbalimbali ili kupunguza au kutokomeza uwezekano wa kuenea kwa saratani ya matiti. Mfuko huu umepanga kuendeleza elimu hii kwa shule za mikoa ya Mbeya, Ruvuma, Rukwa, Iringa, Mtwara na Lindi.
Kwa kusindikiza hafla hii kutakuwa na maonyesho ya mavazi yaliyotolewa na wabunifu wa hapahapa nchini ambao ni Escado Bird, Kemi Kalikawe na Subira Wahure vilevile kutakuwa na burudani ya muziki kutoka msanii Enika na mchekeshaji Evans Bukuku. Pia mrembo mwenyewe Nelly Kamwelu atatoa burudani ya dansi aina ya Belly Dance.

NEW ZEALAND SCHOLARSHIPS FOR AFRICA.

Information for intakes commencing 2013.
This page should be read with the general information available in the New Zealand Development Scholarships section.

Regional Focus

The New Zealand Development Scholarships (NZDS) scheme offers the opportunity to people from targeted developing countries to undertake development-related studies at tertiary education institutions in New Zealand. NZDS are a central part of the New Zealand Government’s development assistance to Africa under its Africa Regional Programme.
The New Zealand Aid programme offers NZDS to candidates from Botswana, Ethiopia, Kenya, Lesotho, Mauritius, Mozambique, Namibia, Tanzania, South Africa, Swaziland, Zambia and Zimbabwe.
The NZDS scheme aims to strengthen sustainable economic development in Africa by contributing to human resource development particularly agriculture and geothermal development.
http://www.aid.govt.nz/funding-and-contracts/scholarships/eligible-countries/africa

HON. MAKAMBA JOINS YOUTHS TO COMMEMORATES WORLD DAY FOR CULTURAL DIVERSITY FOR DIALOGUE AND DEVELOPMENT


Talent show by Youths during the Cultural Diversity Day at Social Welfare Institute, 26 May 2012.
Traditional dance performance by students during the World Day for Cultural Diversity for Dialogue and Development, Social Welfare Institute.
Youths commemorating the World Day for Cultural Diversity for Dialogue and Development through traditional dancing.
Youths in a Fashion show and traditional dance during the World Cultural Diversity Day celebrations,Social Welfare Grounds.
Youth of the United Nations Association with Hon. January Makamba during the commemoration of World Day for Cultural Diversity for Dialogue and Development held at Social Welfare Institute grounds.
Youths commemorating the World Day for Cultural Diversity for Dialogue and Development through traditional dancing.

MAZISHI YA MWANAFUNZI WA ARDHI UNV. AGUSTINO MBIKILWA AKA TINO TINOLA

Mwili wa The Late Agustino Mbikilwa ( TINO TINOLA) ukitoka katika viwanja vya chuo kikuu cha Ardhi ambapo uliletwa kwaajiliya kuagwa rasim na wanafunzi na walimu wachuoni hapo siku ya Jumaanne tarehe 29 May 2012 na baadaye kurejeshwa nyumbani kwao Tegeta tayari kwa mazishi yaliofanyika siku ya Jumatano, 30 may 2012,
REST IN PEACE TINO TINOLA
Maisha ni safari na safari hufika siku ikafika kikomo na hapo ndipo tunapo rejea kwa Muumba, Yaani kule tuliko toka,,,,!! Katika hali ya huzuni na majonzi makubwa wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali ikiwemo Ifm, Udsm, Cbe, Ardhi na vingine vingi walishiriki katika mazishi ya kumwaaga mwanafunzi wenzao aliyefariki dunia kwa ajali ya gari usiku wakuamkia Jumamosi May 26  AGUSTINO MBIKILWA alimaarufu TINO TINOLA,,
Mimi Binasfi nilimjua Tino sio tuu kama rafiki lakini ni kama ndugu,, Kwa mara ya kwanza nakutana na Tino ilikuwa ni shule ya msingi na urafiki wetu ulidumu kutoka utoto paka hii leo,,, Na kwa mara ya mwisho naongea na Tino ilikuwa ni siku moja kabla sijaja masomoni alipo kuja nyumbani kunitembelea.
Tino alikuwa ni mcheshi, mwenye busara na mkarimu, Alipenda sana kucheza mpira wa miguu na hiyo ndio iliokuwa ikimpa jina kubwa na umaarufu kila shule aliyo soma na popote alipo ishi,
Watatu kutoka kushoto  Tino na timu ya Chuo kikuu Ardhi
Tino alijulikana kama mfungaji bora katika kikosi cha soka cha Mbezi Beach Sec (2007-09) alipokuwa amemalizia kidato cha sita, Aidha umahiri wa Tino ulionekana hata kwenye jamii inayo mzunguka, Tino alikuwa mchezaji bora wa timu ya vijana kitaani ( Mkanada Youth Football Star),
Tino ambaye alimaliza kidato cha sita 2009 na kujiunga na chuo kikuu cha Ardhi kwa shahada ya kwanza aliendelea kuwa mfano wakuigwa kwa wanafunzi wa chuoni hapo kwa kudumisha urafiki kwa njia mbali mbali hasa katika michezo na darasani,,,!!
Tino enzi za uhai wake
TINO alikuwa mchango mkubwa sana kwangu ijapokuwa hatukuwa na muda mwingi wakukaa na kuzungumza kutokana na ratiba za majukumu ya maisha ila Katika marafiki nilio wahi kusoma nao TINO NI RAFIKI YANGU WA KWELI,,
 REST IN PEACE TINO TINOLA








Katika safari ya kumsindikiza Ndugu yetu, rafiki na mwanafunzi mwenzetu AGUSTINO MBIKILWA aka (TINO TINOLA) katika nyumba yake ya milele hali.
WANAFUNZI WA VYUO MBALIMBALI JIJINI DAR ES SALAAM PAMOJA NA WANAJAMII WAKARIBU WAKITOA SALA YA KUMWAAGA RAFIKI NA KIPENZI CHETU AGUSTINO MBIKILWA KATIKA KANSA LA KATOLIKI WAZO HILL TEGETA JANA JUMATANO
Baadhi ya wanafunzi mbalimbali wachuo kikuu cha Ardhi na Classmate wa marehemu Tino katika mazishi ya Tino Tinola yalio fanyika jana katika makaburi ya Wazo Hill Tegeta Da es salaam
Baadhi ya wanafunzi waliomaliza na Tino shule ya msing 2001, wakijadiliana jinsi ya kuunda chama cha Kunduchi Alumin kitakacho wakutanisha na kusaidiana katika shida na raha. Wanajadili hayo yalipokutana nyumbani kwa kina marehemu Agustino mbikilwa siku ya jumatatu, Hili pia lilikuwa ni wazo za Tino kabla ajakutwa na mauti.
Wanafunzi wa kibeba jeneza la kipenzi chao na rafiki wakaribu  Marehemu Agustino Mbikilwa walipo kuwa wanaelekea makaburini,
Hiyo ndo nyumba ya milemile ya marehemu Agustino Mungu aiweke roho yake mahal pema pepon Eiiiiimen

HABARI PICHA ZA MR & MISS IFM 2012


MR & MISS IFM 2012
DADA YETU WEMA SEPETU AKIONGEA MARA BAADA YA KUTOA ZAWADI YAKE KWA WASHINDI



Diamond Platnum akionyesha mambo yake ndani ya ukumbi wa Ubungo plaza katika mashindano ya Miss & Mr IFM 2012
DIAMOND AKIFANYA VITU VYAKE JUKWAANI.... IT WAS FANTASTIC    

Tuesday, May 29, 2012

ANOTHER ACCIDENTAL DEATH OF A STUDENT AT KHEMIS MILIANA HOSTEL IN ALGERIA

Accidental death of a student: the student community of Khemis Miliana-Algeria shout to the government.

The fatal fall of a student in legal and administrative sciences at the University of Khemis Miliana raised a public outcry in the student community was found on the spot Monday.
The accident resulting in the death of the young Ahmed Mechalikh, 21 years old, late afternoon Sunday sparked intense emotion among the residents of the hostel, sis at Boutane, still under the shock of the tragedy that hit in the night last Friday their friends in the wilaya of Tlemcen.
The deceased in an attempt to penetrate through the window, inside a Chamber of one of his comrades to retrieve business owned would have slipped and fallen 4th floor, according to the testimony of one of his friends met at the exit of the residence hostel.
Hostel of Khemis Miliana Algeria


In the eyes of the latter, "this tragic accident is the drop that has straw."  He regretted the fact that 
"the residence does not have an ambulance which prevents a medical management efficient in case of emergency". In addition, there are be recalled that same residence has recently witnessed unfortunate incidents including a serious assault on a student of African origin.

Yesterday, hundreds of students of the residence conducted a night walk of 25 km in the direction of the headquarters of the province where a delegation was received by the walii. 
 Note finally that the examinations were suspended Monday for a day, as a sign of mourning and outrage. (Translated by Bing)